Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Vipi wewe unayo nini? 😀😂😂😂
Vipi wewe unayo nini? 😀😂😂😂
Ndio broVipi wewe unayo nini? 😀
Fanya hivyo sasa broNdio bro
Jf hairuhusuFanya hivyo sasa bro
[emoji23][emoji23][emoji23]viuno tena broOf course huo muungano umekua na faida kubwa sana kwa River camp kuliko Nako yaani G tu ndio ananufaika zaidi wakati wenzake ndio kama hivyo ......
Hahah! Jamaa wa chuga siku hizi wamelegea sana sio kama walivyokua zamani, nikiangalia matamasha yakifanyika kule huwa naona machalii wanakata viuno kabisa, mambo yamebadilika sana bro
Upo vizuri kumbe[emoji119]Namkumbuka vizuri
Niliupenda wimbo wake ule wa Sala.
Baba Asante Leo Ni siku nyingine
Nakuja Tena Baba Nina ombi jingine
Baba we ndo kimbilio sinaTena mwingine
Nachana Sana promo wanapewa wengine
Peter msechu pia anajitahidi na Pascal casian yupo kwenye gospel huku,
baby madaha alianza kwa Kasi,naona alishazima.
Huyo misoji nkwabi nadhani alienda tu kuzitafuna zile mil50..
Kwa miaka hii Walter chilambo anautendea Haki ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wao chamdekoooooWaziwanda njooni huku tuna kikao [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1402020
Bro.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msukuma wa kwanza utakayekutana naye msalimie kwa niaba yangu bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama atakuwa amevaa tisheti naomba kuona maandishi ya kifuani/mgongoni kama yapo....
Kiongozi wetu ni Mndali wa Uyole katibu wake KD japo Mndali akianza zile biti zake za Davet usibonyeze rimoti utaumiza vidole Utafikiri KD ndo kiongozi ...Kiongozi wao chamdekooooo
[emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀Of course huo muungano umekua na faida kubwa sana kwa River camp kuliko Nako yaani G tu ndio ananufaika zaidi wakati wenzake ndio kama hivyo ......
Hahah! Jamaa wa chuga siku hizi wamelegea sana sio kama walivyokua zamani, nikiangalia matamasha yakifanyika kule huwa naona machalii wanakata viuno kabisa, mambo yamebadilika sana bro
Chambo si wa uvuvi?😀😀😀 Chambo ya nini bro
Salama bro?Chambo si wa uvuvi?
Shwari aisee, za masiku?Salama bro?
Chuga sio chuga tena bro 😀[emoji23][emoji23][emoji23]viuno tena bro
😂😂😂😂😂 ShwainKiongozi wao chamdekooooo