Vp Rango
Sasa nini shida?Saiv Upo.
Napenda njia wanayotumia Burundi ๐๐Afrika mashariki na nchi nyingine zilizotuzunguka, takwimu za mpaka jioni ya jana Ijumaa march 27 2020.
1. Rwanda 54
2.Kenya 31--kifo 1
3.Uganda 18
4.Tanzania 13
5.Burundi 0
6.DR Congo 51---vifo 3
7.Zambia 22
8.Msumbiji 7
9.Malawi 0
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐Hahahahah,
Wanasemaje hapo Majengo?
My last Advice to JF Men; learn from me - JamiiForums
Esta naomba msaada wa kufungua code hapa nimekwama. Baharia kapigwa analia lia kila comment mpaka anatia huruma. Nataka kumfahamu huyo shujaa wa kike aliyemkaanga huyu baharia mpaka akaharibu kila kitu mpaka ndoa na familia [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah!
Naona uzi ushafutwaMy last Advice to JF Men; learn from me - JamiiForums
Esta naomba msaada wa kufungua code hapa nimekwama. Baharia kapigwa analia lia kila comment mpaka anatia huruma. Nataka kumfahamu huyo shujaa wa kike aliyemkaanga huyu baharia mpaka akaharibu kila kitu mpaka ndoa na familia [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii shot ilibidi urudi kuicrop sio? ๐View attachment 1402192
Mbona inakuja hivi??
๐๐ kwa nini?Hii shot ilibidi urudi kuicrop sio? ๐
Nimeyaona mabadiliko tu ๐๐ unaogopa watu watakutania brand unayotumia๐๐ kwa nini?
๐๐๐ hamna mkuuNimeyaona mabadiliko tu ๐๐ unaogopa watu watakutania brand unayotumia
Hahah! Haina noma mzee๐๐๐ hamna mkuu