Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1585410412514.jpeg
 
So sad. Sie waafrica daah wanasema kisa coronaView attachment 1402297
Kuoneana tu. Kila mwenye kicheo anajiona yeye ndiyo yeye. Hata wasiotumia fimbo utawakuta wametuna huko maofisini. Hata yule karani tu mpokea wageni kisirani tupu huko kwenye maofisi yao. Sijui tuna tatizo gani kwa kweli
 
Back
Top Bottom