Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi kwenye dini tunaonywa kwamba hairuhusiwi kutangaza matatizo yako maana hiyo ni "neema" toka kwa Mola wako.
Hairuhusiwi kutangaza "neema" alizokujaalia mola wako, ila hivi sasa watu wanaona ufahari kutangaza aibu zetu ili waombe hiki au kile, kwenye nyumba za ibada mpaka mitaani, wanadhani huenda hizo nchi tunazowaomba hawana watu masikimi.
Nadhani ni busara kutumia raslimali chache tulizonazo kuendesha mambo yetu badala ya kuwategemea wengine
Umeongea kwa hisia sana kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
FB_IMG_1585410169392.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu ni Mungu jaalia tu.
Maana magari yanajaa kama zamani, mikusanyiko isiyo rasmi bado ipo, vijiwe vya kahawa, drafti, bao vyote vipo kama zamani.
Hivi punde nimetoka msibani, watu tumejazana hapo kama zamani tu.
Tumuombe Mungu atuepushie mbali na janga hili maana likifika kwetu kwa kishindo hadithi inabadirika
Mungu Atusimamie. Nimeona watu bado wanagombania daladala kama kawa. Bila Mungu kutusimamia hali inaweza kuwa tete....

Na nimeona mahala wanasema inawezekana Waafrika tuna kinga na huyu kirusi kwa sababu hafurukuti sana. Hata waliompata wengi wao wanapona na dalili zao ni za kawaida tu. Uangalifu bado ni kwa wazee na wale wenye matatizo mengine ya kiafya...

Tukiendelea kufuata masharti ya wataalamu inawezekana kikombe hiki kikatupita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mi pia nimeshangaa maana Messi hajawahi kutwaa hata Kombe la Dunia.
Kisha Ujerumani wamempa Franz Berckenbauer badala Gerd Műller

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji bora katika historia sio wachezaji walioletea nchi mafanikio....

Muweke Messi na Maradona hapo kwenye mzani uniambie mzani utalalia wapi?
 
Back
Top Bottom