Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464136243_547717.jpg
 
I feel you bro. Na hii guarantine ya Korona hii aisee ni balaa. Siku ya tano sasa sijaongea na mtu face to face na bila hii JF sijui ingekuwaje...

Wewe wazukie tu mabinti PM na uwaeleze shida yako. Waweza pata atakayekuelewa mkaanza kupiga stori safi tu...

Mbona bongo hatup quarantined bado kaka Au haup Tz ?

Mmmhh hata Sithubutu kaka nikablue-tikishwe niumie zaidi ? Nimeenda PM kadhaa yamenikuta hayo. Bora Ingekua mchana ubize kdgo, Usiku tabu tupu Mamaee [emoji21]
 
Yayayayaaaaaaa!!!!
Shwaini mimi mwenyewe nimepigwa karantini nisikanyage Dar hadi gonjwa liishe... Nimekuwa mpweke hadi kusoma Biblia nimechoka... Najinywea pombe tu.
Mungu niondolee domo zege nijichanganye kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanizid Mimi udomo zege Mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hujanizid Mimi udomo zege Mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee haya mambo sijui wengine wanafanyaje? Yaani wife hana hata wasiwasi ananiambia nikipata mchepuko dakika sifuri nipo kikaangoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kigugumizi kinaniponza hata sichelewi kufumaniwa.Nikijaribu kujitetea ananiambia "nitafunika ungo ufe" nanyamaza kimyaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yayayayaaaaaaa!!!!
Shwaini mimi mwenyewe nimepigwa karantini nisikanyage Dar hadi gonjwa liishe... Nimekuwa mpweke hadi kusoma Biblia nimechoka... Najinywea pombe tu.
Mungu niondolee domo zege nijichanganye kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukijichanganya kitaa mi na Kabula wangu tunaua Mnyakyusa wallahi liwalo na liwe...

Kamata Nyagi yako sawa sawa lakini kamatia kwako. Hili nalo litapita [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom