Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee
Kuna mdada anaitwa Aundreanarene M'marekani ni noma nusu
Ni mrembo (wa kawaida tu)....

2.24854250563953485E18.jpg
 
Hivi hali ikoje Florida kamanda
I feel you bro. Na hii guarantine ya Korona hii aisee ni balaa. Siku ya tano sasa sijaongea na mtu face to face na bila hii JF sijui ingekuwaje...

Wewe wazukie tu mabinti PM na uwaeleze shida yako. Waweza pata atakayekuelewa mkaanza kupiga stori safi tu...
 
Back
Top Bottom