Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaitwa Odama, kwakweli dada ni mrembo haswaView attachment 1402522View attachment 1402523
Jina lake halisi Ni Jenifer Kyaka
Hilo odama alicheza tu kwenye movie..
Moja Kati ya movie zake za mwanzo mwanzo Ni shumireta..amecheza Kama make wa mack
Kuna movie nyingine inaitwa jicho langu
Hii movie ni ya kibongo ila Ni nzuri sana Sana..Ni ya yule mmakonde(gambo sijui)

Movie nyingine Kali aliyocheza Ni inside..humo ndani yupo mzee majuto na Dullah mtangazaji wa planet ya salama eatv(sijui Kama bado ipo maana sijawahi fwatilia hii channel)

Jennifer kyaka Ni moja Kati ya waigizaji wanaojua bongo movie kwenye list yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mungu tu
Atabaki kuwa Mungu tu
Hata wainuke wamseme vibaya
Hata wamkatae mbele zako.

Nabii Eliya katikati wa manabii wote wa mungu bahari
Lengo la Eliya ilikuwa Ni kumthibitisha Mungu wa kweli Ni yupi Kati ya mungu wa bahari na Mungu wa mbinguni
Eliya
Akawaambia watu nikaribieni akachukua mawe kumi na mbili akaanza kujenga madhabahu
Akaweka kuni juu yake
Akaweka sadaka juu yake
Akachimba mfereji akawaambia watu mwageni maji mapipa manne
Wamwaga maji Mara ya kwanza
Wakamwaga maji Mara ya pili
Wakamwaga Mara ya tatu
Eliya akaanza kumwita Mungu ,Mungu wa mbinguni
Wee Mungu ,wee Mungu ,wee Mungu
Na ijulikane Kama upo
Moto ukashuka..... .

Msafwa wetu[emoji3590]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kushikilia Guiness record hilo ni joka la Kibisa tu haliumi hivyo usiogope. Madaktari wanasema ili kulifanya lisimame na kuuma mtu itabidi kiasi kikubwa sana cha damu kielekezwe huko kusimamia hiyo shughuli...

Huyo jamaa yupo huko mitandaoni akiomba msaada wa kulipunguza kwa sababu limegeuka mzigo/kilema....[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mungu amsaidie[emoji120]
Ila kama alilitafuta mwenyewe Basi mapenzi ya Mungu yatimizwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yayayayaaaaaaa!!!!
Shwaini mimi mwenyewe nimepigwa karantini nisikanyage Dar hadi gonjwa liishe... Nimekuwa mpweke hadi kusoma Biblia nimechoka... Najinywea pombe tu.
Mungu niondolee domo zege nijichanganye kitaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀mkuu pole sana.Dar achana nako
 
Back
Top Bottom