Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
2010-11 Muhenga analilia kurudishwa nyumbani 😂😂😂😂

#Shwainizako
 
Hivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella again 2010 au 11 akaanza kulia kisa kaogopa walevi cheeeeiiiii

#kiandaeitini hichi
 
Kwenda huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mmama kipindi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeee
 
IMG-20200330-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom