Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kweliYaani wewe basi tu. Uko kama komidiani fulani hivi. Eti ikafika saa 4 ukaanza kulia [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulikuwa na umri gani wakati huo? Ungezubaa ukapotezana na bro wako mabaharia wangejiopolea kitu kipyaaa....wenyewe wanaitaga kuku wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee...Kapee acha uchoyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1403976
Wacha tuchukue tahadhari uku tunaangalia mchezo unaenda vipiMuziki bado. Kulingana na kinachojulikana kuhusu maambukizi na tabia ya kirusi hiki, wimbo utafikia korasi pengine mwezi Mei huko au Juni. Sasa kinasambaa kwanza. Tuendelee kuchukua tahadhari !!!
Hahah! Aya turudi tu sasa
Vipi bado unalikataa?Hahah! Aya turudi tu sasa
Hahah! Hajaacha chimbo alafu kalist yale ya sote tupateOstadh yuko vizuri sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
No! Dullah limekaa vibaya
Aiseee!Umesahau na machangu, city pub na mbeya carnival.
Kwenda[emoji23]Pengine la 7C au kajitahidi sana sana fomu twu B [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂No! Dullah limekaa vibaya
42 naishi kabisa bro 😀Bro kumbe hii ndio size ya mguu wako😀😀
Habari ya leo?