Ndio
2010-11 Muhenga analilia kurudishwa nyumbani ππππHivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2010-11 Muhenga analilia kurudishwa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Shwainizako
Hahah! wanawake kawaida yenuKwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Hadi Sasa nikiona nakwambia kitu hunisikii machozi yananilenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kulia Ni silaha yangu ya kwanza.Hahah! wanawake kawaida yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella again 2010 au 11 akaanza kulia kisa kaogopa walevi cheeeeiiiiiHivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stella again 2010 au 11 akaanza kulia kisa kaogopa walevi cheeeeiiiii
#kiandaeitini hichi
Siunakumbuka vile Bro Moud alilielezea? ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeeeKwenda huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mmama kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbali linasound nice
Ukikua mkubwa utaachaKwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Hadi Sasa nikiona nakwambia kitu hunisikii machozi yananilenga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukilia wanao wafanyaje waoMimi kulia Ni silaha yangu ya kwanza.
Inanikinga na mengi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ sukumbuki aseeSiunakumbuka vile Bro Moud alilielezea? ππ
Alisema kina Dullah wengi wana mambo ya Mombasaππ sukumbuki asee
ππ ila ninaowajua mimi hawako hivyoAlisema kina Dullah wengi wana mambo ya Mombasa
Acha tu bro hili jina limeshachafuka humuππ ila ninaowajua mimi hawako hivyo