Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natembea na mkasi kwenye gari... Nasema "nitakunyoa tu"
Siku nikikuambia napita ya Malamba mawili we tia maji kichwani... Shwaini wee.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂

Usipande ya Segerea chukua ya Tandika au Gomz kama hujanikuta hapa Darajani basi utanikuta Sitakishari pale uwanjani nakimbia kimbia....

#Sahanihalipotenakichwani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usipande ya Segerea chukua ya Tandika au Gomz kama hujanikuta hapa Darajani basi utanikuta Sitakishari pale uwanjani nakimbia kimbia....

#Sahanihalipotenakichwani
#wekapichatuhakikishe

Alisikika mlevi mmoja hivi[emoji124][emoji124]

Sent from my SM-G928F using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu mtoto ni shida sana.
Ninacho weza kushukuru kwenye huu uzi ni upendo bila kujali tofauti za umri na status zetu.
Ipo siku isiyo na jina itafika, ambapo myoyambendi atawekwa wazi wote tutashangaa... moudgulf huyu huyu watu hawataamini... Kwa SHIMBA YA BUYENZE kwa wanaopenda kusoma sana sijui watesemaje kwenye usimamizi wa kupata vidigirii vya juu zaidi... Huyu Daemusin na hizo lugha zake...acha nchi yetu isifiwe popote Africa. Mimi nipo busy kumshauri Davet anyoe kishungi chake kichwani na vindevu vyake uchwara kisa tu ana rangi nusu ya....basi imekuwa fulu fujo mtaani.
Nitawaletea maparachichi popote mlipo maana mmekuwa faraja kwangu.
Mungu awabariki sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Khantwe [emoji120]
Numbisa [emoji120]
The Happiness mama uvumilivu [emoji120]
Zoë ghwa kukaja kungana [emoji120]
Bradha jezi mpya [emoji120]
ningendako [emoji120]
Yegomasika mzee mwenzangu [emoji120]
Nsamaka (mtalaka hatongozwi) [emoji120]
Mkokaa [emoji120]
capitalpool [emoji120]
Kgothalo [emoji120]
Depal mama K (miezi 9 sio mingi) [emoji120]
Saint Anne binti matata [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120]

We are family....
Popote ulipo Cole Williams [emoji137] na kivuruge nimewakumbuka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?
inawezakana vipi mzee mwenye miaka 78 akawakumbuka member wote wanaopita ndani ya hii thread.

breaking newz:
imegundulikana andjul amezaliwa miaka 18 iliopita........ ni kwa mujibu wa tafiti iliofanywa na Saint Anne
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usipande ya Segerea chukua ya Tandika au Gomz kama hujanikuta hapa Darajani basi utanikuta Sitakishari pale uwanjani nakimbia kimbia....

#Sahanihalipotenakichwani
Muongo hauja nyoa.
Ya kupitia Buza zile ngazi za Mbezi mwisho zitakuja ning'oa meno [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naponaje ankoo?
Huku hakufai sasahivi

Ila nashukuru niko salama sema safari itabidi nisitishe barabara haipitiki[emoji17][emoji17]

Sent from my SM-G928F using Tapatalk
Kama upo Buza itakuwa afadhali. Pole sana Ankoo. Ukisikia milima na mabonde (kauli ya Davet kwa TH) kwenye maisha ndio hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?
inawezakana vipi mzee mwenye miaka 78 akawakumbuka member wote wanaopita ndani ya hii thread.

breaking newz:
imegundulikana andjul amezaliwa miaka 18 iliopita........ ni kwa mujibu wa tafiti iliofanywa na Saint Anne
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongo hauja nyoa.
Ya kupitia Buza zile ngazi za Mbezi mwisho zitakuja ning'oa meno [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Week iliyopita kuna makaratasi nilitakiwa kupeleka kwenye office za wenyewe ilibidi ninyoe Anko..

Zile ngazi na vile vikumbo vya watu kweli sio salama kabisa pale labda uzunguke kama gari 😀
 
mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?
inawezakana vipi mzee mwenye miaka 78 akawakumbuka member wote wanaopita ndani ya hii thread.

breaking newz:
imegundulikana andjul amezaliwa miaka 18 iliopita........ ni kwa mujibu wa tafiti iliofanywa na Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week iliyopita kuna makaratasi nilitakiwa kupeleka kwenye office za wenyewe ilibidi ninyoe Anko..

Zile ngazi na vile vikumbo vya watu kweli sio salama kabisa pale labda uzunguke kama gari [emoji3]
Afadhali.
Halafu kule hauja enda si ndio?
Maana hawajawahi kunijulisha uwepo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom