andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Daah!Kama upo Buza itakuwa afadhali. Pole sana Ankoo. Ukisikia milima na mabonde (kauli ya Davet kwa TH) kwenye maisha ndio hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mbeya
😂😂😂😂😂😂😂😂 hii mada imehamia huko tena#kasemayasiksipakieti[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daah!
Sasa naamini kweli hakuna kinachokupita kwenye huu uzi
😳😳😳😳 Adi hii unaijua?
Nasubiri nyngine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Adi hii unaijua?
Samahani sana Anko kama nitakuwa nilikusababishia shida yeyote juu ya ile issue....Afadhali.
Halafu kule hauja enda si ndio?
Maana hawajawahi kunijulisha uwepo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Dataz na Squezer - WhyNasubiri nyngine[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijasikia za kina Daz nundaz..yule Kaka yake dataz,ferooz [emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nywila yake ninayo mimi[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninavyo lala kwenye daladala [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huwa wananishitua tupo polisi Tandika
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 mrudishie sasa umeshamnyanyasa vya kutoshaNywila yake ninayo mimi[emoji16]
Niliiangalia s1 wakati nafuatilia na GOT zote zikanishinda.Ok sawa ila ukipata muda ifatilie ni nzuri, au wewe unapenda zile za malove tu?
Ankoo huku ni kisiwani sasahivi
Hahah! Ushazoea Wakorea wanalialia kisa wametendwa basi yale mapanga kwenye Vikings huyawezi kabisa 😀Niliiangalia s1 wakati nafuatilia na GOT zote zikanishinda.
Ngoja nikipata muda nitaitafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii mada imehamia huko tena