Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee! [emoji119]

Perfume ya Joslin
Huo siujui
Sikuupenda.

Mwingine nilioukariri wa Ray c na Huyo James

Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila Ni wewe tu na mapepe yako
Vile ulivyobomba watu unawabamba mi nahisi nitakuwa peke yangu

Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila nahisi utautesa moyo wangu
Vile ulivyobomba watu unawabamba
Mi nahisi nitakuwa pekee yangu

Jamaa alikuwa anaimba Kama mlevi..hii style yake niliipenda
Sijui Yuko wapi sahizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom