Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huo siujui
Sikuupenda.

Mwingine nilioukariri wa Ray c na Huyo James

Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila Ni wewe tu na mapepe yako
Vile ulivyobomba watu unawabamba mi nahisi nitakuwa peke yangu

Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila nahisi utautesa moyo wangu
Vile ulivyobomba watu unawabamba
Mi nahisi nitakuwa pekee yangu

Jamaa alikuwa anaimba Kama mlevi..hii style yake niliipenda
Sijui Yuko wapi sahizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilikua ya D knob aliwashirikisha Rey C na Squezer, ilikua joint nzuri sana

"Sogea tufanye japo kiduchu ata kwenye majani ma"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mzee wa pole ndo yuko romantiki?
Sana
Yaani huwa anaandika zile pole kwa kubembeleza.

Poleni wakulima,poleni walezi,
Wagonjwa
Ikifika usiku Sasa[emoji7]
Usiku wa kupeana burudani[emoji108]

Ustaadh akifika hapa Ni kuangua emoj za kicheko tu...akijitahidi Sana Ni salamu za kibabe[emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aione mzee wa tmk[emoji23][emoji23]
Sana
Yaani huwa anaandika zile pole kwa kubembeleza.

Poleni wakulima,poleni walezi,
Wagonjwa
Ikifika usiku Sasa[emoji7]
Usiku wa kupeana burudani[emoji108]

Ustaadh akifika hapa Ni kuangua emoj za kicheko tu...akijitahidi Sana Ni salamu za kibabe[emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Nani huyu jamani nifukuzie
Ustaadh hata pole hajawahi kunipa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂🤣

Muhurumie Ostazi muda mwingi anavurugwa na machimbo ya madini kama sio hivyo utamkuta Mbugani anakimbizana na Wanyama, hapo bado asubuhi hajaanza kusumbuka na magazeti wakati huo duka lake jipya la nguo na viatu limamsubiri kufanya matangazo
 
Back
Top Bottom