Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro anaendekeza zaidi vijiwe vyake vya kahawa kubishania Siasa na mambo ya corona ila anasahau kuwa ama chombo ya Mbeya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu anafanya maombi ya Corona Kama MOUD
Mimi omba yangu yote ila sijamfikia huyu ustaadh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYANGUMI (WHALE)
.
wakati tembo akiwa anatamba sana kwa uzito mkubwa kuliko wanyama wote aridhinii, huko majini mambo ni tofauti kabisaa,, maana kuna kiumbe kinaitwa nyangumi ni funga kazi, maana uzito wote wa tembo ni sawa na ulimi wa konki masta nyangumi 😃
 
wanapatikana bahari ya antartic japo kuna baadhi ya bahari pia wapo kama pasific, moyo wa konk huyu unauzito wa kg 500-600 ( moyo sawa na uzito wa Binlaaden simba wawili 😃) .
nyangumi dume huwa na urefu kati ya futi kumi na mbili na anamacho madogo yenye kuona mbali sana (nyangumi anauwezo wa kuzoom mbali sana kama sniper 😃)
 
Back
Top Bottom