Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Balanciaga
1585583508704.jpeg


K,K
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Muhurumie Ostazi muda mwingi anavurugwa na machimbo ya madini kama sio hivyo utamkuta Mbugani anakimbizana na Wanyama, hapo bado asubuhi hajaanza kusumbuka na magazeti wakati huo duka lake jipya la nguo na viatu limamsubiri kufanya matangazo
Kwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?
Ustaadh hayuko romantic
Kila mtu Ana kazi..
Hata Mimi mchuma maparachichi tu wa hapa nyumbani bado Nina kazi

Raba zenyewe za dukani kwake kila nikimwambia nataka pair Mona hataki hata kunijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana
Yaani huwa anaandika zile pole kwa kubembeleza.

Poleni wakulima,poleni walezi,
Wagonjwa
Ikifika usiku Sasa[emoji7]
Usiku wa kupeana burudani[emoji108]

Ustaadh akifika hapa Ni kuangua emoj za kicheko tu...akijitahidi Sana Ni salamu za kibabe[emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 eti usiku wa kupeana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Muhurumie Ostazi muda mwingi anavurugwa na machimbo ya madini kama sio hivyo utamkuta Mbugani anakimbizana na Wanyama, hapo bado asubuhi hajaanza kusumbuka na magazeti wakati huo duka lake jipya la nguo na viatu limamsubiri kufanya matangazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapohapo hajaanza kufuatilia habari za liva na simba
 
Kwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?
Ustaadh hayuko romantic
Kila mtu Ana kazi..
Hata Mimi mchuma maparachichi tu wa hapa nyumbani bado Nina kazi

Raba zenyewe za dukani kwake kila nikimwambia nataka pair Mona hataki hata kunijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kuwa wewe romantic kwanza umfundishe na kaka yangu[emoji23][emoji23]
 
Kwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?
Ustaadh hayuko romantic
Kila mtu Ana kazi..
Hata Mimi mchuma maparachichi tu wa hapa nyumbani bado Nina kazi

Raba zenyewe za dukani kwake kila nikimwambia nataka pair Mona hataki hata kunijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bro anaendekeza zaidi vijiwe vyake vya kahawa kubishania Siasa na mambo ya corona ila anasahau kuwa ama chombo ya Mbeya
 
Back
Top Bottom