Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππππNatembea na mkasi kwenye gari... Nasema "nitakunyoa tu"
Siku nikikuambia napita ya Malamba mawili we tia maji kichwani... Shwaini wee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naponaje ankoo?
#wekapichatuhakikishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usipande ya Segerea chukua ya Tandika au Gomz kama hujanikuta hapa Darajani basi utanikuta Sitakishari pale uwanjani nakimbia kimbia....
#Sahanihalipotenakichwani
Sio mbaya sana ni vyema pia, hivi hii Vikings huwa ina series ngapi?Dah!acha tu
Mambo yamebanana kimtindo
Sent from my SM-G928F using Tapatalk
mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu mtoto ni shida sana.
Ninacho weza kushukuru kwenye huu uzi ni upendo bila kujali tofauti za umri na status zetu.
Ipo siku isiyo na jina itafika, ambapo myoyambendi atawekwa wazi wote tutashangaa... moudgulf huyu huyu watu hawataamini... Kwa SHIMBA YA BUYENZE kwa wanaopenda kusoma sana sijui watesemaje kwenye usimamizi wa kupata vidigirii vya juu zaidi... Huyu Daemusin na hizo lugha zake...acha nchi yetu isifiwe popote Africa. Mimi nipo busy kumshauri Davet anyoe kishungi chake kichwani na vindevu vyake uchwara kisa tu ana rangi nusu ya....basi imekuwa fulu fujo mtaani.
Nitawaletea maparachichi popote mlipo maana mmekuwa faraja kwangu.
Mungu awabariki sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Khantwe [emoji120]
Numbisa [emoji120]
The Happiness mama uvumilivu [emoji120]
ZoΓ« ghwa kukaja kungana [emoji120]
Bradha jezi mpya [emoji120]
ningendako [emoji120]
Yegomasika mzee mwenzangu [emoji120]
Nsamaka (mtalaka hatongozwi) [emoji120]
Mkokaa [emoji120]
capitalpool [emoji120]
Kgothalo [emoji120]
Depal mama K (miezi 9 sio mingi) [emoji120]
Saint Anne binti matata [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120]
We are family....
Popote ulipo Cole Williams [emoji137] na kivuruge nimewakumbuka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo hauja nyoa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usipande ya Segerea chukua ya Tandika au Gomz kama hujanikuta hapa Darajani basi utanikuta Sitakishari pale uwanjani nakimbia kimbia....
#Sahanihalipotenakichwani
Ni picha ya nini inayotakiwa hapa?#wekapichatuhakikishe
Alisikika mlevi mmoja hivi[emoji124][emoji124]
Sent from my SM-G928F using Tapatalk
Hata sijui kwakweli maana sijawahi ifuatiliaSio mbaya sana ni vyema pia, hivi hii Vikings huwa ina series ngapi?
Kama upo Buza itakuwa afadhali. Pole sana Ankoo. Ukisikia milima na mabonde (kauli ya Davet kwa TH) kwenye maisha ndio hiyo.Naponaje ankoo?
Huku hakufai sasahivi
Ila nashukuru niko salama sema safari itabidi nisitishe barabara haipitiki[emoji17][emoji17]
Sent from my SM-G928F using Tapatalk
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?
inawezakana vipi mzee mwenye miaka 78 akawakumbuka member wote wanaopita ndani ya hii thread.
breaking newz:
imegundulikana andjul amezaliwa miaka 18 iliopita........ ni kwa mujibu wa tafiti iliofanywa na Saint Anne
Muongo hauja nyoa.
Ya kupitia Buza zile ngazi za Mbezi mwisho zitakuja ning'oa meno [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
#kasemayasiksipakieti[emoji23][emoji23][emoji23]Ni picha ya nini inayotakiwa hapa?
#Ukijibunitag
[emoji3][emoji3]
Week iliyopita kuna makaratasi nilitakiwa kupeleka kwenye office za wenyewe ilibidi ninyoe Anko..Muongo hauja nyoa.
Ya kupitia Buza zile ngazi za Mbezi mwisho zitakuja ning'oa meno [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo Buza itakuwa afadhali. Pole sana Ankoo. Ukisikia milima na mabonde (kauli ya Davet kwa TH) kwenye maisha ndio hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kapotelea wapi@Cole Williams huyo[emoji124][emoji124][emoji124]
Ninavyo lala kwenye daladala [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ukipita ya buza nipitie hapa kwa mama k
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ok sawa ila ukipata muda ifatilie ni nzuri, au wewe unapenda zile za malove tu?Hata sijui kwakweli maana sijawahi ifuatilia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee una miaka 78 ya kuzaliwa, hii nguvu ya kuandika comment refu unaitolea wapi?
inawezakana vipi mzee mwenye miaka 78 akawakumbuka member wote wanaopita ndani ya hii thread.
breaking newz:
imegundulikana andjul amezaliwa miaka 18 iliopita........ ni kwa mujibu wa tafiti iliofanywa na Saint Anne
Afadhali.Week iliyopita kuna makaratasi nilitakiwa kupeleka kwenye office za wenyewe ilibidi ninyoe Anko..
Zile ngazi na vile vikumbo vya watu kweli sio salama kabisa pale labda uzunguke kama gari [emoji3]