Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu Kd hakuwepo hata kiunoni mwa mama yake..
Atajulia wapi miaka yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo dogo ni mshamba sana..........
bila ya shaka utakuwa una uzoefu mkubwa sana wa kuzungumza na watoto (mtoto anachotaka mpatie ili umfurahishe)...

mimi naamini mwaka 2010 ulipokwenda kumshuhudia ali kiba na vanessa ulikuwa unamalizia master yako ya uzeeni na si kidato cha nne
 
"Simamia kucha mgambo wangu rungu suuza"

Shwaini zao hawa nyimbo zimekuwa kama video zetu zile, yani nyimbo tunasikilizia vyumbani kimaficho labda ukienda club ndio unaenjoy zaidi...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti simamia kucha [emoji16][emoji16][emoji16]

Nimewaza mbali sana bro
 
Kwa hiyo sasa ana miaka 26....

Sidhani. Umemuongezea karibu karne nzima aisee. Naamini ndiye mdogo kuliko wote katika uzi huu. Usitishwe na maneno mengi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Najua tu umekuja kupinga uhenga wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo Hawa watoto wote kina Mkokaa hujawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sasa ana miaka 26....

Sidhani. Umemuongezea karibu karne nzima aisee. Naamini ndiye mdogo kuliko wote katika uzi huu. Usitishwe na maneno mengi [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
alipo saint anne ndipo nilipo mimi kama wapinzani wa zenji na maalim seif.......
nawezaje kupingana na daughter of god.....
unataka nikose maparachichi?
 
Najua tu umekuja kupinga uhenga wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo Hawa watoto wote kina Mkokaa hujawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkokaa pengine ndiyo ananusa nusa 24/25. Wewe naamini ndiyo unaichungulia twenti....
 
huyo dogo ni mshamba sana..........
bila ya shaka utakuwa una uzoefu mkubwa sana wa kuzungumza na watoto (mtoto anachotaka mpatie ili umfurahishe)...

mimi naamini mwaka 2010 ulipokwenda kumshuhudia ali kiba na vanessa ulikuwa unamalizia master yako ya uzeeni na si kidato cha nne
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeishia la 4C

2010 nilikuwa najiandaa kujifungua mtoto wangu wa 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
464130607_608504.jpg
 
Back
Top Bottom