Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200330-WA0036.jpg
 
Inawezekanaje nikose kufurahi siku zote ninazoishi na uhai unajua mungu hapendi walimwengu mnavisa♪♪♪

Huyu kijana ananikosha
Nimejikuta naanza kumsikiliza
Nikisema niage ntakua najiraghai Moyo utakuwa bado unanidai, wacha niweke imani ipo siku nitaridhishwa 🎶

Hajawahi kukosea huyu jamaa
 
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani nachekaje jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto mbaya jamani[emoji1787][emoji1787]
Hivi kumbe Kuna machangudoa?
Nilishawahi kwenda city pub..bro amekuja nyumbani huyo akanizoa twende sijui kili show..Mimi huyo nikamfwata..
Nilijuta ile siku maana nilisimama,miguu inauma,Kuna vurugu,walevi wanagongana tu vyupa..Kuna wadada wanatwangwa wamekunywa bia za watu.
Nikamwambia bro turudi..anasema Mimi sirudi Hadi nimuone Roma..Yee
Yaani ile siku siji kusahau
Ikafika saa4 nikaanza kulia..akanirudisha nyumbani.
Ni Kati ya 2010 au na 11
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani wewe basi tu. Uko kama komidiani fulani hivi. Eti ikafika saa 4 ukaanza kulia [emoji16][emoji16][emoji16]

Ulikuwa na umri gani wakati huo? Ungezubaa ukapotezana na bro wako mabaharia wangejiopolea kitu kipyaaa....wenyewe wanaitaga kuku wa kienyeji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom