Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wanaume yaani Ni vichomi
Halafu Hawa ambao hawanaga chochote ndio changamoto..unakuta kajitu hakana chochote unaamua kukakubali unakaheshimu ila nyodo kama zote ..
Unamuacha akwende tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na cho chote au kutokuwa na cho chote kuna uhusiano gani na nyodo? Nyodo ni tabia ya mtu usichanganye madesa......[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijambo shem
Heshima yako.

Huku kwema kabisa tunashukuru.

Sijui wewe na familia huko
Huku hivyo hivyo. Kichaa wao alisema wakati wa Pasaka atafungulia kila kitu ila imebidi aongeze mwezi mzima na wachambuzi wanasema pengine mpaka Juni ndiyo mwanga utaanza kuonekana. Ni kukaa ndani tu na kula likes ...

Mungu Atulinde shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
400017300883_13687.jpg
 
Back
Top Bottom