Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwa na cho chote au kutokuwa na cho chote kuna uhusiano gani na nyodo? Nyodo ni tabia ya mtu usichanganye madesa......[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijambo shem
Heshima yako.

Huku kwema kabisa tunashukuru.

Sijui wewe na familia huko
Huku hivyo hivyo. Kichaa wao alisema wakati wa Pasaka atafungulia kila kitu ila imebidi aongeze mwezi mzima na wachambuzi wanasema pengine mpaka Juni ndiyo mwanga utaanza kuonekana. Ni kukaa ndani tu na kula likes ...

Mungu Atulinde shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…