Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anko....!


[emoji120][emoji120], Mungu atupatie upendo daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwaka 1980 kuna kabinti fulani alikuwa anavutiwa na mjinga mimi (enzi hizo nina miaka 10), yule binti alikuwa anakuja nyumbani ananifanyia fujo mbele ya wazee (mtu fulani nampenda).

ile tabia ilikuwa hainivutiii basi siku moja tukatwangana ngumi kama jet lee na donnie yen.
tumesoma pamoja mpaka kidato cha nne nikapata division failure mwenzangu akapata division 4.

binti akaolewa na mwanaume mwenye asili ya uarabu
siku moja nilikwenda kwao mama yake akaanza malalamiko dhidi yangu.

wewe kenge kwa nini ulimkataa binti yangu....

tuma 10000 nikumalizie stori kwa waziri mkuu (PM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…