Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Haya mambo haya.Daah! Huyu Carba kanilegeza mpaka mtu wa Hiphop nabana pua kiasi hichi? πππ
Siulimwona "Zoe I" amegeukia gospel πππ
Haya mambo haya.Daah! Huyu Carba kanilegeza mpaka mtu wa Hiphop nabana pua kiasi hichi? πππ
πππ[emoji23][emoji23]
Hii naona ile ya kumwaga mboga nimwage ugali na maji ya kunawa.
Mimi huwa nakwambia ubize mwema yaani hapo nimemaliza
Kwema kabisa.Mzima mtani
Kwema huko?
[emoji23][emoji23][emoji23]hatujamaliza ada mtani
Mwanamke kwa siku anaongea maneno wastani 7,000 na Mwanaume wastani ni maneno 2,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja melo aweke Audio kwenye JF yake then tusikie maneno yako 7000 per day
π€£π€£π€£π€£π€£ noma sana Mkatalunya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkatalunya umeshtukia kipa kimo cha Phillips unapiga mipira ya juu Tu
Uko sawa shem...Inategemea na ex[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
πππ kuna mambo hayazuiliki kama MafurikoHaya mambo haya.
Siulimwona "Zoe I" amegeukia gospel πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Safi sana ata hiyo yako ipo vizuri yani kuna issue nyingie huwa hazihitaji diplomasia kuzimaliza bali ubabe tu alafu siku zinazidi kukatika
Hata Wazaramo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mwanamke kwa siku anaongea maneno wastani 7,000 na Mwanaume wastani ni maneno 2,000