carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Amina shem[emoji120][emoji120]Huku hivyo hivyo. Kichaa wao alisema wakati wa Pasaka atafungulia kila kitu ila imebidi aongeze mwezi mzima na wachambuzi wanasema pengine mpaka Juni ndiyo mwanga utaanza kuonekana. Ni kukaa ndani tu na kula likes ...
Mungu Atulinde shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu aendelee kutulinda