carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa.
Acha maneno mtani.Wewe siulitutangazia hapa kuwa haukuongea na mwalimu mkuu?
Mtani acha tu,nilikuwa najimwambafai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa.
Acha maneno mtani.Wewe siulitutangazia hapa kuwa haukuongea na mwalimu mkuu?
ameokoka kwenye gharika hatimaye amekufa *******.....Roy Cleveland Sullivan, mtu anayeshikilia rekodiya kupigwa radi mara nyingi zaidi bila kufa,mara 7, alikufa kwa kujipiga risasi baada yaugomvi na mke wake kwa sababu za wivu wa mapenzi.Mke wake alikuwa mdogo kwake kwa miaka 30.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka mkubwa[emoji119][emoji119][emoji119]Uko sawa shem...
Ma Ex wengine mpaka mtu unajishangaa. What was I thinking...Na wengine wanakuwa wamekuacha na tashwishwi...
Kuna mmoja niliingia gharama sana kumhudumia wakati tunasoma halafu akaja akachomoa the last minute hata kabla hajanipea. Nikapotezea japo niliumia sana....
Forward miaka sita mbele vu bin vu huyu hapa kwenye ndege tunatoka Mwanza kuja Dar. Kanona balaa anaburuta msambwanda uso unang'aa mbalamwezi cha mtoto. Kumuuliza anasema keshaolewa tena na mtu mkubwa sana kwenye gaverimenti yetu. Halafu ana mimba 4 months. Namuuliza ndo inakuwaje sasa? Ulivyonifanyia siyo poa. Madharau yale...Akaomba msamaha weee yakaisha ila...
Tunatua Dar anasema mumewe yuko nje ya nchi na hakuna mtu anayejua kuwa alikuwa anarudi siku ile. Sana sana tu ampigie dereva wake na kumwambia asije kumpokea eapoti kwa sababu alikuwa kaahirisha safari....Ijumaa mpaka Jumatatu...Dabo Turiii....
Nimeshatubu hii dhambi na nilishaapa kuwa sitakaa nijurubeng waifu wa mtu tena. Ma ex wengine hovyooooo !!...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Utoto yaani. Mpaka leo nafsi huwa inanisuta yaani. Sitarudia tena [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka mkubwa[emoji119][emoji119][emoji119]
Ulikula bini ya wenyewe??
😀😀😀Uko sawa shem...
Ma Ex wengine mpaka mtu unajishangaa. What was I thinking...Na wengine wanakuwa wamekuacha na tashwishwi...
Kuna mmoja niliingia gharama sana kumhudumia wakati tunasoma halafu akaja akachomoa the last minute hata kabla hajanipea. Nikapotezea japo niliumia sana....
Forward miaka sita mbele vu bin vu huyu hapa kwenye ndege tunatoka Mwanza kuja Dar. Kanona balaa anaburuta msambwanda uso unang'aa mbalamwezi cha mtoto. Kumuuliza anasema keshaolewa tena na mtu mkubwa sana kwenye gaverimenti yetu. Halafu ana mimba 4 months. Namuuliza ndo inakuwaje sasa? Ulivyonifanyia siyo poa. Madharau yale...Akaomba msamaha weee yakaisha ila...
Tunatua Dar anasema mumewe yuko nje ya nchi na hakuna mtu anayejua kuwa alikuwa anarudi siku ile. Sana sana tu ampigie dereva wake na kumwambia asije kumpokea eapoti kwa sababu alikuwa kaahirisha safari....Ijumaa mpaka Jumatatu...Dabo Turiii....
Nimeshatubu hii dhambi na nilishaapa kuwa sitakaa nijurubeng waifu wa mtu tena. Ma ex wengine hovyooooo !!...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahah! Safi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa sana
😀😀😀ameokoka kwenye gharika hatimaye amekufa *******.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro keshakula kimasihara
sasa mbona mimi sitakiwi na wanawake na hizo sifa ninazo....Wanawake huvutiwa zaidi na Wanaume ambao huwasikiliza na pia wanaokumbuka vitu Mbalimbali vinavyowahusu bila hata kukumbushwa Mfano kama Siku ya kuzaliwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro keshakula kimasihara
Unarudi lini ety?
Nimekukumbuka