Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Hahah
Hbd to himMajanii, Nature hapa
View attachment 1404697
Ndio shemej yake na yule boss wa BSS, nmeona sehemu ameshare hii taarifa..
Ndio shemej yake na yule boss wa BSS, nmeona sehemu ameshare hii taarifa..
RIP
Sawa sawa, nilikuwa namaanisha taarfa hii hii...
Hiyo picha nimeitoa WhatsApp imetumwa hivyohivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa, nilikuwa namaanisha taarfa hii hii...
Acha kutumia simu huku unachaji binti mrembo[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] hako katabia tunako wengi kumbeHiyo picha nimeitoa WhatsApp imetumwa hivyohivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo na Mimi Nina hako katabia[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi haka Ni katabia kangu ka kudumu[emoji85]mi mzima kabisa nige[emoji23][emoji23][emoji23] hako katabia tunako wengi kumbe
Mambo vp Annie? Uzima upo huko?
Sijambo Anne, mambo yako vipi?