Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂 Translator
20200331_122820.jpg
 
Sawa sawa, nilikuwa namaanisha taarfa hii hii...

Acha kutumia simu huku unachaji binti mrembo[emoji2]
Kakaake aitwaye Ib...na kakaangu ni marafiki sana.Nimefahamiana nao hawa jamaa kipindi cha Beta musica pale Tcc Chang'ombe. Watoto wa mzee Brigedia Gen. Mbita.
Mwezi uliopita katoka Sauzi....
Apumzike mahali pema Peponi rafiki yetu[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maisha yetu hapa duniani. Leo tupo na kesho haoo tushaondoka. Pole kwa msiba na Marehemu Apumzike salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom