regnard magari
Senior Member
- Jan 5, 2015
- 146
- 174
Vp mkuu
Mwenye umbo namba8 ananichanganyaaa...Kwa heshima ya P funk majani kuzaliwa
Naomba unichanie huu wimbo
Daz nundaz #8
Jamaa alitengeneza mziki mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Rip Mwenye enzi Mkuu atuepushe na janga hiliMgonjwa mmoja wa corona afariki Dunia View attachment 1404727View attachment 1404728
HBD majaniMajanii, Nature hapa
View attachment 1404697
You can lose even if you want to win....The point is to keep on trying until you eventually win [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😀😀😀Hahah! Tunawazoom tu
UmeshindaSoma sana mdogo wangu
Usisahau kufanya shughuli zozote hata ndogo Kwani shule pekee si chochote Bila jitihada zako binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina mweusi whatsapp
Nitakuja inbobo tutaongea mengi mambo mengine ni privacyKwema aisee. Vipi lakini huko kwako? Shemeji na kale kamalaika ketu ketu hawajambo? Kamekua sasa eeeh! Kanahitaji mdogo wake sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu nikuulize hapa hapa kwa vile umejileta. Una habari zo zote kuhusu malkia wetu wa uzi huu The only and Only one? Kuna boya mmoja alianzisha sredi akidai kuwa eti alishaRIP kuanzia mwaka jana. Sredi ilifutwa hata kabla watu hawajaanza kutiririka sawa sawa. Unazo habari zo zote kumhusu? Mwambie angalau aje tu mara moja atusalimie pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]