regnard magari
Senior Member
- Jan 5, 2015
- 146
- 174
Gr8 mkuu nakuona kama kawaidaDaah! Mzee wa Liver huyooo!
Fresh sana bro mambo yako vipi hapo?
Asante. Nikupe pole pia kwa Liverpool kupokwa ubingwa na Korona msimu huu...Nitakuja inbobo tutaongea mengi mambo mengine ni privacy
Mm nipo mkuu majukumu tu yanabana
Kumbe nawe Reds kindakindaki asante Niko poa kabisa
Eeh! Bado tunapiga miguu yota kama Messi mzeeGr8 mkuu nakuona kama kawaida
BBWStrong, Gifted and Black [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1404882
Huyu ndiye shabiki nambari wani. Ilikuwa mkishinda hapa hatulali wakati mwingine inabidi hata tumwachie uzi atambe vizuriKumbe nawe Reds kindakindaki asante Niko poa kabisa
Pamoja mkuuVp mkuu
Karibu tenaPamoja mkuu
Mkuu si mchezo kitu hicho
Ubingwa wetu tu hata iwejeAsante. Nikupe pole pia kwa Liverpool kupokwa ubingwa na Korona msimu huu...
Hahahaha sawa mkatalunyaEeh! Bado tunapiga miguu yota kama Messi mzee
Nimekuja kumsapoti kwa nguvu zoteHuyu ndiye shabiki nambari wani. Ilikuwa mkishinda hapa hatulali wakati mwingine inabidi hata tumwachie uzi atambe vizuri
AsanteKaribu tena
Hii ni nyumba au ni safina ya Nuhu?