Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uwe na siku njemaKumbe nawe Reds kindakindaki asante Niko poa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndiye shabiki nambari wani. Ilikuwa mkishinda hapa hatulali wakati mwingine inabidi hata tumwachie uzi atambe vizuri
Mkuu hii gia ya gari gani?
Mwambie huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Ubingwa wetu tu hata iweje
Whozhaaasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]Nimekuja kumsapoti kwa nguvu zote
Liverpool wanatisha sana mwaka huu
Wee mzee ulinisababishia taharuki ya moyo. Simu haipo hewani, kila nikija huko sina pa kuanzia.Nitakuja inbobo tutaongea mengi mambo mengine ni privacy
Mm nipo mkuu majukumu tu yanabana
Piga kelele kwa mzee wa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108].dada liver ndo nishasema hivyo[emoji91][emoji23][emoji23] livakuku na corona nani anatisha
Waambie waambie[emoji847][emoji91][emoji91]Aisee majogoo wa anfield shughuli nyingine
Bwana Alitoa, Bwana ametwaaTANZIA
Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.
Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.
Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.
Umesema niniPiga kelele kwa mzee wa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108].dada liver ndo nishasema hivyo[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa kumbe post ipoTANZIA
Familia ya Marehemu Alhaj Brigedia Generali Hashim Mbita kwa huzuni kubwa inasikitika kuarifu msiba wa mdogo wetu mpendwa IDDI HASHIM MBITA uliotokea usiku wa kuamkia leo hospitalini Mloganzila.
Kutokana na tatizo lililopelekea kifo chake, CORONA, serikali itamzika mpendwa wetu leo mchana. Wawakilishi wachache sana wa familia wataruhusiwa kuhudhuria mazishi. Hakutakuwa na msiba wala matanga ya pamoja kuepuka kueneza maambukizi. Kila mtu aomboleze kwake.
Dua nyingi tumuombee Iddi Allah amuweke pema peponi. Amina.
Sitawoki aloni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema nini
Corona kiboko yenu
Ananiuliza kama nina demu namwambia sina....Ananichanganya sura yake
Inanidatisha shepu yake
Nanananana [emoji443][emoji444][emoji445][emoji442][emoji450]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi inafutwa bibie
Ilikuwaga kama utani lakini sasa hivi inataka kuwa kama ukweliLigi inafutwa bibie