capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Niko Poa sana Mzee wa liver!Mkuu niaje kitambo sana uko poa
IndeedKwa sasa huyu ndiye Waziri maarufu kuliko wateView attachment 1405000
Sent using Jamii Forums mobile app
Geto geto getoView attachment 1405019
Bro ako bado ninazo
Poa kamanda
😂😂😂 eti kadonoaHivi Sasa alisharejea
Hajui wapi ataanzia
.........
Afanye Nini Hana Cha kufanya
Kila anachofanya anaona anakosea
Ewe Mac muga,Mungu akupe Nini Mac muga..
Ooh hi dunia
Huyu jamaa naye ametotoa vitoto amedonoa mno wadada.
Hivi Ni upi ule ambao ameimba na chid Benz?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kwao Mwanza huko
Bwana MisosiHivi ule wa mabinti wa kijanja
Wanajua kujipamba
Kwa mapozi nananan
Sijui Nini we utatia nanga hohoho
Ni wa Nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaWataweza kweli?
A wapi
Kushindana nasi?
A wapi
Liverpool baba lao,
Mzee wa liver babu lao,
Anne dada lao
MOUD kaka lao
Klopp mwamba waoView attachment 1405009
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi mkuu mambo vipiMzee wa Liver ..
Mambo vipi Chief?
Kweli kiongozi kitambo bora uzima mkuu nimerudi tena majukumu yalizidi sanaNiko Poa sana Mzee wa liver!
Nilipotea kidogo ila wewe nadhani umenizidi Bro ni miaka ..
OK
Nitoke vipiBwana Misosi