Hiyo ni mboga kumbeKwa wenye matatizo ya choo hili Ni zuri
Na hii mboga pia Ni nzuri.
Mimi nakula Mara kwa Mara maana Ni mvivu kunywa maji...kwahiyo inanisaidia kumaintain Hali yangu ya choo kuepukana na constipationView attachment 1405139
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!Yaani hata waifu akikukuta na mchepuko wa hivi itabidi akupongeze tu halafu mnaondoka pamoja kurudi home [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405146
Anikute na pisi kali kama hii bro halafu aniwakie aisee nitamshangaa sana [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah!
Kama hajampita wife uzuri.. atakuwakiaAnikute na pisi kali kama hii bro halafu aniwakie aisee nitamshangaa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Inaliwa kama mchicha vile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi mdogo angu
Hili zigo ni halali kabisa linivunjie chaga
Tena hapo hata awake alete na matarumbeta ya kusutia ana haki kabisa...ila kama pisi ni kali kumzidi inabidi awe mpole tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kama hajampita wife uzuri.. atakuwakia