verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,261
- 6,520
Hahaha aisee huo mvumo wa radi ni hatariYaani hata waifu akikukuta na mchepuko wa hivi itabidi akupongeze tu halafu mnaondoka pamoja kurudi home [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405146
Sawa dogo langu
Unapenda misambwanda sana broTena hapo hata awake alete na matarumbeta ya kusutia ana haki kabisa...ila kama pisi ni kali kumzidi inabidi awe mpole tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405170
Dah! Husahau
Mwenzenu nilikuwa nimelala ndio naamka eti, korona imekaribia airport, eti katutoka mmojaNumbisa, nisaidie kunitambulisha kuwa kitimoto kaludi upya toka ugaibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapenda nini? Mamiguu? Sura nzuri? Manyonyo?Unapenda misambwanda sana bro
Shemeji atakuwa naye si haba
😀😀😀 i love thickWewe unapenda nini? Mamiguu? Sura nzuri? Manyonyo?
Penda unachopenda bro. Ni kila mtu na lwake...and yes, shemeji yako yuko vizuri sana kwenye hiyo idara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu umeingia PMWewe unapenda nini? Mamiguu? Sura nzuri? Manyonyo?
Penda unachopenda bro. Ni kila mtu na lwake...and yes, shemeji yako yuko vizuri sana kwenye hiyo idara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeshaona kamanda; na nimeshakujibu. Asante sana kwa kuchukua muda wako kunijibu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu umeingia PM
Amini hivyo
Aisee...Kwa wenye matatizo ya choo hili Ni zuri
Na hii mboga pia Ni nzuri.
Mimi nakula Mara kwa Mara maana Ni mvivu kunywa maji...kwahiyo inanisaidia kumaintain Hali yangu ya choo kuepukana na constipationView attachment 1405139
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushapitwa ivyo