Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siyo lijitu ila mkipewa ubingwa utakuwa ni ubingwa wa kuhurumiwa tu. Ni sawa na kwenye ndondi kunatokea vurugu pambano linaahirishwa halafu yule aliyekuwa anaongoza eti ndiyo anatangazwa mshindi. Ushindi wa hovyo! Ushindi wa kubebwa! Ushindi usio na bashasha! Hovyo tu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app