moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndo haya Sasa.
Magubike walikupikia hayo?
Mimi siyo lijitu ila mkipewa ubingwa utakuwa ni ubingwa wa kuhurumiwa tu. Ni sawa na kwenye ndondi kunatokea vurugu pambano linaahirishwa halafu yule aliyekuwa anaongoza eti ndiyo anatangazwa mshindi. Ushindi wa hovyo! Ushindi wa kubebwa! Ushindi usio na bashasha! Hovyo tu !!!

Salama mkuu, hbr za masiku?
Jirani, naona wewe ulikuwa hujajifungia mitaa ya Kitumbini kama wengine sisi. Umekuwa kila pahala, kulikoni? Si Mbeya, Matombo, Iringa, Kilwa na kwingineko. 😁Hapana siyo magubike, sehemu inaitwa Kisemu, Matombo
Ahsante sana
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba unaniona mzembe Sana au sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hawa mashabiki wa Cr7 pia ni kisanga 😀Mnisamehe bure[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1405347
Nataka sana 😀
Pamoja Ostaadh [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Esta utamuweza? Jeshi la mtu mmoja [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha [emoji23][emoji23]ati "majitu" "lijitu"[emoji23][emoji23][emoji23]