Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchungaji Mboro anaomba dola 100,000 ili afanye safari akapambane na shetani dhidi ya kitendo chake cha kuleta corona Duniani.
Anadai Dunia imeingia kwenye gharama kubwa wakati yeye kama mtumishi ana uwezo wa kukabiliana naye kwa gharama nafuu na ushindi ukapatikana
FB_IMG_1585676280548.jpeg
 
Aisee
KUWA MAKINI KESHO KUEPUKA USUMBUFU.
________________________

Kesho asubuhi, April 1, 2020 kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.

Napenda kuwakumbusha wapendwa wote, kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa, zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu kwa muda katika shughuli zao, kama hautokua makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni baada ya polisi kupigiwa simu kuhusu dereva mmoja kugonga magari mawili kusini mwa jiji la Seattle na kisha kukimbia, afisa wa polisi Heather Axtman aliliambia shirika la habari la AFP.
 
Axtman alisema polisi walilifukuza gari hilo na walipolikaribia walishangaa kuona mbwa akiwa amekaa katika kiti cha dereva na mwanaume akiwa ameshika usukani huku akikanyaga mafuta na breki akiwa amekaa katika kiti cha abiria
 
Mfukuzano huo ulimalizika baada ya polisi kuweka vyuma barabarani vilivyotoboa matairi ya gari hilo, na kumkamata Alberto Tito Alejandro, mwenye umri wa miaka 51, ambaye alitiwa mbaroni kwa makosa kadhaa, ikiwa ni pamoja na kuendesha gari huku akiwa ametumia dawa za kulevya.
 
Back
Top Bottom