Mimi sio kama nyie wakishua mnatema mayai sanaHahah! Unazingatia sana
Mimi sio kama nyie wakishua mnatema mayai sanaHahah! Unazingatia sana
The Movie?Peppermint
😀😀 Tema Yai nationMimi sio kama nyie wakishua mnatema mayai sana
😀😀😀😀 Tema Yai nation
Amna mzee lugha za watu hizi noma tupu
Hoiiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405125
Wewe cheka tuu.
Mzima Anne?Shughuli zinasemaje?
Hahah!
Unaweza ukawa na makorokocho yote na bado show ikawa mbovu tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ziko poa
Mungu Ni mwema Sana bradha
Kwa wenye matatizo ya choo hili Ni zuri
Na hii mboga pia Ni nzuri.
Mimi nakula Mara kwa Mara maana Ni mvivu kunywa maji...kwahiyo inanisaidia kumaintain Hali yangu ya choo kuepukana na constipationView attachment 1405139