Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siyo lijitu ila mkipewa ubingwa utakuwa ni ubingwa wa kuhurumiwa tu. Ni sawa na kwenye ndondi kunatokea vurugu pambano linaahirishwa halafu yule aliyekuwa anaongoza eti ndiyo anatangazwa mshindi. Ushindi wa hovyo! Ushindi wa kubebwa! Ushindi usio na bashasha! Hovyo tu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mzembe ila inahitajika uwe na maujanja extra ili tuweze kwenda sawa aisee....
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] umetisha sana
Amen[emoji120]Mungu atulinde na corona[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yani baada ya Isidingo kukuleta hapa na ukakutana na mshiriki wake by coincidence hapa hapa?😀😀😀😀😀😀 hapana, nilimkuta humu by coincidence tuu.
Leseni zote zinaendesha.Kwa ile class D huwezi kuckukua mpira mwenyewe
Morning cocoMorning every one!
Tatizo lako huwa kuna sekta huniamini kabisa😀😀Yani baada ya Isidingo kukuteta hapa na ukakutana na mshiriki wake by coincidence hapa hapa?
#nisiyeMpendaKajaMorning coco
😂😂😂😂Leseni zote zinaendesha.
Utofauti wa madaraja unakuja kwenye baadhi ya mambo kama kukata kona(bwiru).Class E,F na G ukifika kwenye kona lazima ukate kubwa.
Ona toto jinga hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu waonyeshe unavyochumaga mchicha, tembele [emoji445][emoji444][emoji445]View attachment 1405652
😂😂😂😂 hapa nakuamini kabisa mzeeTatizo lako huwa kuna sekta huniamini kabisa😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂 daah!Ona toto jinga hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe!!#nisiyeMpendaKaja
[emoji23][emoji23]mzee sijui alikuwa anachungulia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
Zilitumwa zote humu zile za kulalia mawe ila hii ilifichwa naona ilikua kwa lengo la kumtunzia heshima mkuu wetu....
#nakuonamrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
Zilitumwa zote humu zile za kulalia mawe ila hii ilifichwa naona ilikua kwa lengo la kumtunzia heshima mkuu wetu....
#nakuonamrembo
Mambo,
Achungulie nini tena mapozi tu hayo, umesahau kama ni msukuma?[emoji23][emoji23]mzee sijui alikuwa anachungulia nini
Mzima weye?
#nafuatiliastoryyakonarango
Mzima lakini?Hehehe!!
#ngojanikupishe