Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na hii Ni sababu inayotufanya wengi tuandike hivyo
Tunaandika tunachotamka ili kunogesha japo tunajua kbisa si sahihi.
Laiti tungekuwa tunaongea namna maneno yanaandikwa tungekuwa vituko hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
That's what's Up Anne ✌✌

Haimaanishi kabila au ulipotoka ila inakuwa ni kutaka urahisi tu wakuandika ukiangalia na mazingira unapofikisha ujumbe husika, pia athari za makabila kwenye lugha nahisi inakuwaga kwenye matamshi zaidi ya maadashi
 
Nipe Zali la Mentali
Zali la mentali
Limetokea akati Mimi Nina njaa
Nikapendwa na demu kale
Nakuwaacha watu wote wakinishangaa
Katika mitaa

Naitwa Vicky Nina miaka 22
Ni mtoto wa pekee kwenye familia ya kitajiri

Oh najitwa J nanananan

Dada habari samahani Naomba niulize swali
Ooh nanana hii ngoma ya gari
Dada mbona mkali
We kinyago fanya yaishe[emoji23]

Vicky Ni j j Ni Vicky nananana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona position ya Jua linazidi kuondoka Africa yaani joto linazidi kupungua."The winter is coming" GOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…