Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zali la mentali
Limetokea akati Mimi Nina njaa
Nikapendwa na demu kale
Nakuwaacha watu wote wakinishangaa
Katika mitaa

Naitwa Vicky Nina miaka 22
Ni mtoto wa pekee kwenye familia ya kitajiri

Oh najitwa J nanananan

Dada habari samahani Naomba niulize swali
Ooh nanana hii ngoma ya gari
Dada mbona mkali
We kinyago fanya yaishe[emoji23]

Vicky Ni j j Ni Vicky nananana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe upo vizuri sana. Ukimaliza hiyo naomba ile ya wale jamaa wa university corner tshirt na jeans

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Kumbe upo vizuri sana. Ukimaliza hiyo naomba ile ya wale jamaa wa university corner tshirt na jeans

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Kila Moja anapendeza
Hakuna inayemchukiza
Sitaweza kuiacha inanitoa chicha nami nawakilisha[emoji1787][emoji444][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo vyema. Itabidi tuanzishe kundi humu la zilipendwa. Tupia Latifa ya MB Dog.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Nachotaka milele uwe wangu
Nanananana mama wa watoto wangu
Kwani nishaachana na habari za machangu

Sema Basi unachotaka Mami

Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako

Kumbuka mb dog nakupenda
Ukiniacha nanana nitakonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachotaka milele uwe wangu
Nanananana mama wa watoto wangu
Kwani nishaachana na habari za machangu

Sema Basi unachotaka Mami

Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako

Kumbuka mb dog nakupenda
Ukiniacha nanana nitakonda

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda pale anaposema "vipo vya kushare Lati sio mapenzi..." Kwa kweli itabidi COVID-19 iishe haraka. Ili uje tuimbe live.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
IMG-20200402-WA0002.jpg
 
Hiyo ni nzuri sana. Kuna mtu nilimwambia kukaa home ndio nzuri maana unakuwa upo karantini. Akacheka sana. Kiukweli ni njia nzuri ya kuepuka misongamano.

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hofu ni kwa Hawa wanaoenda kazini
Wanarudi nyumbani tunaishi nao.
Mungu tu anatulinda


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom