Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

That's what's Up Anne [emoji111][emoji111]

Haimaanishi kabila au ulipotoka ila inakuwa ni kutaka urahisi tu wakuandika ukiangalia na mazingira unapofikisha ujumbe husika, pia athari za makabila kwenye lugha nahisi inakuwaga kwenye matamshi zaidi ya maadashi
Tofauti za kifonolojia na kifonetiki pia ni viashiria vizuri vya kujua kabila la mtu kwa sababu mara nyingi husababishwa na athari za lugha mama kwenye lugha ya pili. Ninaweza kubashiri kabila la mtu kwa kusikiliza lafudhi yake na anavyotumia baadhi ya maneno:

1. Wahaya na Wakerewe huwa wanadondosha h na kuiweka isipotakiwa (Uwezi hamini)...

2. Wachaga (nji hii badala ya nchi hii)

3. Wamakonde (ntu badala ya mtu)

4. Wasukuma (ningendako ataleta mfano)

....
....
....
 
60885d3d-c8e7-44ee-87d0-f62865103240.jpg
 
Back
Top Bottom