Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Quarantini broWewe uko wapi?
Kufata mchele wa Pasaka😀😀 Kufanyaje huko
Hahaha natamani nimtag mtu
Alikuimbisha wakati ana mke? [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha natamani nimtag mtu
Chunya ipo Mbeya?Kufata mchele wa Pasaka
Imerudi....now njaa Kila mudaApetaiti isharudi?
Ogopa sana lile geti la chini kuanzia leo. Hako kakijana siyo kazuri. Not to that extent [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ilikuwa Mbeya ndio, kwani imeshatolewa?Chunya ipo Mbeya?
Kwa kweli changamoto ni nyingi, cha muhimu ni kuchukua tahadhari.Hofu ni kwa Hawa wanaoenda kazini
Wanarudi nyumbani tunaishi nao.
Mungu tu anatulinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo gate sijalijuagaImerudi....now njaa Kila muda
Geti la chini hakuna madhara usiogope
Ila hawa maTAG banaHili kanisa nimelipenda [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1406672