Ndio nipo hukoIlikuwa Mbeya ndio, kwani imeshatolewa?
Ndio nipo hukoIlikuwa Mbeya ndio, kwani imeshatolewa?
Sio ningeMuulize Bradha
Hahahaa bro tukumbushane banaKorona ikiisha tu pandisha kwenye pipa huyu Mnyakyusa kama ulivyoahidi kamanda. Tutakukumbusha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chagua kati yao 😂Sio ninge
Ubebe mcheleNdio nipo huko
Kama ulivyonibashiria asubuhi ukachana mkeka bro....Tofauti za kifonolojia na kifonetiki pia ni viashiria vizuri vya kujua kabila la mtu kwa sababu mara nyingi husababishwa na athari za lugha mama kwenye lugha ya pili. Ninaweza kubashiri kabila la mtu kwa kusikiliza lafudhi yake na anavyotumia baadhi ya maneno:
1. Wahaya na Wakerewe huwa wanadondosha h na kuiweka isipotakiwa (Uwezi hamini)...
2. Wachaga (nji hii badala ya nchi hii)
3. Wamakonde (ntu badala ya mtu)
4. Wasukuma (ningendako ataleta mfano)
....
....
....
ningendako ni gate la chuo kipi?Chagua kati yao 😂
Watu: Mtag 👀Hahaha natamani nimtag mtu
Ipo vizuri mkuu haina kitambiMkokaa naona umeelewa kazi
Anazingatia sana zoeziIpo vizuri mkuu haina kitambi