AbsAnazingatia sana zoezi
Safi kakaShwari bro, mambo ni vp?
kaka aliwahi kuniletea jezi kama hiyo ikiwa imeandikwa jina la dennis bergkamp..Hiki ndiyo kizazi halisi cha the gunners View attachment 1406682
Yah! Kama mvivu au mzembe hupigi zile
Wewe si ulisema leseni haiendeshi gari?Safi kaka
Kuna gate nimeambiwa nikuulize
Salama bro?Yah! Kama mvivu au mzembe hupigi zile
Hahah! sina leseni bro... ila naendeshaWewe si ulisema leseni haiendeshi gari?
Amani imetawala bro, vipi huko?Salama bro?
Siku inaishaje huko?
KweliYah! Kama mvivu au mzembe hupigi zile
Ni kwema pia.Amani imetawala bro, vipi huko?
Tunashukuru Mungu bado anatusimamia