Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Elimu mtaani - D knob
Fm studios
Fm studios
Salama Mo?
Nina swali hapa 😀Salama Mo?
Poa KDMabinti wa Kindali mambo vipi?
Watoto wa Kikinga mambo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Korona ikiisha tu pandisha kwenye pipa huyu Mnyakyusa kama ulivyoahidi kamanda. Tutakukumbusha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yote kwa yote hao #1 huwa wanatuharibia Sana lughaTofauti za kifonolojia na kifonetiki pia ni viashiria vizuri vya kujua kabila la mtu kwa sababu mara nyingi husababishwa na athari za lugha mama kwenye lugha ya pili. Ninaweza kubashiri kabila la mtu kwa kusikiliza lafudhi yake na anavyotumia baadhi ya maneno:
1. Wahaya na Wakerewe huwa wanadondosha h na kuiweka isipotakiwa (Uwezi hamini)...
2. Wachaga (nji hii badala ya nchi hii)
3. Wamakonde (ntu badala ya mtu)
4. Wasukuma (ningendako ataleta mfano)
....
....
....
Mtuache[emoji23][emoji23][emoji23]Vimbaumbau ni shida [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tangu binti mpole amekufundisha kutag kwa a.k.a Basi Ni tabu hapa mjini[emoji23][emoji23][emoji125]
HakikaKwa kweli changamoto ni nyingi, cha muhimu ni kuchukua tahadhari.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ni kweli athari hizi hujichomoza hasa katika matamshi lakini zikizoeleka sana kwa mtumiaji zinaweza kujichomoza hata katika lugha ya maandishi. Mifano ni mingi kuhusu hili na kuna mpaka machapisho ya Isimu Jamii (Sociolinguistics) kuthibitisha dai hili.Kama ulivyonibashiria asubuhi ukachana mkeka bro....
Huyo Mchaga atasema Nji badala ya Nchi lakini kwenye kuandika ataandika Nchi badala ya Nji
Huyo Mmakonde atasema ntu badala ya mtu lakini kuandika ataandika mtu sio ntu
Ndio maana nikasema hizo athari mara nyingi hutokea kwenye matamshi kuliko kwenye maandishi
Hivi AliyeimbaDhahabu - Dully ft Blue, Joslin
MJ record