Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Ushamkumbuka sasa?
Ushamkumbuka sasa?
👍👍Ni kweli athari hizi hujichomoza hasa katika matamshi lakini zikizoeleka sana kwa mtumiaji zinaweza kujichomoza hata katika lugha ya maandishi. Mifano ni mingi kuhusu hili na kuna mpaka machapisho ya Isimu Jamii (Sociolinguistics) kuthibitisha dai hili.
Duh!! hapo maji moto, limau.. mzigo.....Jirani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana. Nina mzigo huu hapa chini jirani. Mpaka karantini ikaishe sijui kama nitasalimika...Tutaona !!!
#Heshimayaukoo
#Kufakishujaa
#Koronaimeletaneema
View attachment 1406750
We acha tu jirani.Duh!! hapo maji moto, limau.. mzigo.....
Uchokozi huo...mkao huo na hii karantin 😂 😂
Isimujamii sio chanzo cha ule uandishi bali ni kutafuta urahisi wa uandishi tu ukizingatia sehemu ambayo ujumbe unapelekwa sio sehemu rasmi (nimerudi kwenye mada kuu)Ni kweli athari hizi hujichomoza hasa katika matamshi lakini zikizoeleka sana kwa mtumiaji zinaweza kujichomoza hata katika lugha ya maandishi. Mifano ni mingi kuhusu hili na kuna mpaka machapisho ya Isimu Jamii (Sociolinguistics) kuthibitisha dai hili.
Hahah! Kweli ni njema lakini bado hazijakua ofishali kabisaHabari njema sana hizi bro ...
Wacheza rede wasubiri tena baada ya miaka 50....
Wa kukosa ni wa kukosa tu.
Oooh I love this [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]View attachment 1406743
Haya mashairi siyakumbuki kabisa ila yanakuja kwa mbaaliHivi Aliyeimba
"I want to spend my life with you
Nataka tuwe na family yetu
Nataka tuishi wote pamoja
................
Ndio Huyo joslin??
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 eti swali la msingi. DaahHakutakua na maswali kwa waziri mkuu kutokana na covid-19 😀😀.
Hebu uliza, swali la msingi lakini😀
Sahivi tunakaa level seat...pole zetu tutunzie kwanza hadi corona iishePoleni mlio kwenye daladala
Tunaona athari hizi zinazichomoza hata katika mazingira rasmi (magazetini na hata vitabuni). Ni jambo la kawaida na siyo kweli kwamba lina kisababishi kimoja tu kama unavyodai (urahisi wa uandishi).Isimujamii sio chanzo cha ule uandishi bali ni kutafuta urahisi wa uandishi tu ukizingatia sehemu ambayo ujumbe unapelekwa sio sehemu rasmi (nimerudi kwenye mada kuu)