Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Yaah! Ndio huyo fundi Joslin sasaHuo wimbo hiyo ilikuwa chorus,alikuwa anaimba mdada ..nitautafuta huu wimbo nikukumbushe
Niite Basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Ni za kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app