Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
VoAS 😀
Inachukua muda sana ila kama hufui inadumu zaidiHuwa haibanduki?
Hivi temeke kunani eti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ostaz mtoto wa Temeke ujue
Sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Nakulipia.....ila si nitakuwa nimekuhonga?
Haya njoo uchukueSawa tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiingledha kilikuja na Ndege Bruh 😵OK.....
Wanapiga makelele eti taaluma ya uandishi imevamiwa na watu ambao siyo weledi. Mara hivi....ila nadhani pengine ni mojawapo ya athari mbovu za sera yetu ya lugha. Tumefika mahali sasa watu wetu (hata wanaojiita wasomi) Kiingereza hawakijui sawasawa na Kiswahili nacho kinawapa shida - hasa kile rasmi kabisa kinachotakiwa katika mazingira rasmi kama vile kwenye vyombo vya habari na kwingineko.
*Kikuku cha Mama Roda
Jina la Tyson lilibadili kabisa Maisha ya huyu Mzungu.
Haya madude 🙌
Ifike mahali tuchague moja. Kama ni Kiingereza ni Kiingereza. Kama ni Kiswahili ni Kiswahili. Hii mshika mbili zote zimeshatuponyoka....Kiingledha kilikuja na Ndege Bruh [emoji43]
Wajanja wajanja sana
Sawa mkuuInachukua muda sana ila kama hufui inadumu zaidi