Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kikuku cha Mama Roda
*Kasuku wange
*Nimekubali kama wewe ni kifaa ft Temba
*Basi kama vipi nataka kwenda nawe ft Ray C
Nimekubali Kama Wewe Ni kifaa
Nimekubali ........
....uzuri wako we
Sasa Leo nimeona mwenyewe
Nimekubali Kama we Ni mzuri

Ohoo ..huu nimeukumbuka
.....iwe siri


Na huo wa mwisho nimeukumbuka ila kuimba siuwezi.


Hizo mbili za mwanzo sikumbuki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200306_082118.jpg
 
Nimekubali Kama Wewe Ni kifaa
Nimekubali ........
....uzuri wako we
Sasa Leo nimeona mwenyewe
Nimekubali Kama we Ni mzuri

Ohoo ..huu nimeukumbuka
.....iwe siri


Na huo wa mwisho nimeukumbuka ila kuimba siuwezi.


Hizo mbili za mwanzo sikumbuki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amlaze pema huyu fundi
 
Hii Swanglish nahisi ndio imechangia sana kupunguza ufanisi katika lugha ya Kiswahili
Sera yetu ha lugha ni ya hovyo bro...

Ukifika la 7 wanakuanzishia Kimalkia fomu wani hata Kiswahili kile chenyewe kabisa rasmi bado....

Mpaka ukaanze kukielewa elewa Kimalkia fomu 3 hukooo na tayari ushavuka miaka 14. 14 ni umri ambao wataalamu wa Isimu ya Ubongo (Psycholinguistics) wanaamini kwamba mtoto akishavuka hapo inamuwia vigumu sana kujifunza lugha mpya na kuimudu sawasawa kama mzawa. Tunawachanganya sana watoto katika kipindi hiki kiasi kwamba wanakuwa hawajamudu lugha yo yote sawasawa kwa kiwango cha umakinifu wa kutosha. Matokeo yake ni vurugu tupu...
 
Nadhani Ni mkenya.
Nikibahatika kupata wimbo nitakuambia ..

Kuna kiwimbo kingine hivi
Wanaimba
Bongo...
Hapo Kati sijui wanachanaje
Wanamalizia
Sijui nashika kamata naweka kabisa

Poor me[emoji24],umenitoka kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo.Com - TNG Squad

Bongooooooo....Bongo.com
Track nakimbiza na verse ya kiafrica
Every time tunakuja kuwashika na .......

Walikua wanatoka Tanga hawa
 
Back
Top Bottom