Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

885E85D9-AFBC-41EC-AC2B-B80E74AABAE0.jpeg
 
Sera yetu ha lugha ni ya hovyo bro...

Ukifika la 7 wanakuanzishia Kimalkia fomu wani hata Kiswahili kile chenyewe kabisa rasmi bado....

Mpaka ukaanze kukielewa elewa Kimalkia fomu 3 hukooo na tayari ushavuka miaka 14. 14 ni umri ambao wataalamu wa Isimu ya Ubongo (Psycholinguistics) wanaamini kwamba mtoto akishavuka hapo inamuwia vigumu sana kujifunza lugha mpya na kuimudu sawasawa kama mzawa. Tunawachanganya sana watoto katika kipindi hiki kiasi kwamba wanakuwa hawajamudu lugha yo yote sawasawa kwa kiwango cha umakinifu wa kutosha. Matokeo yake ni vurugu tupu...
🤝🤝
 
Back
Top Bottom